Yanga wameanza mapema kukifanyia maboresho kikosi chao kuelekea msimu ujao, baada ya kupiga hodi kuulizia huduma ya kiungo mkabaji, James Akaminko kama mbadala mpya wa nyota wao, Khalid Aucho