1 year agoKatibu Mkuu UWT Ndg.Jokate Mwegelo Achangia Ujenzi wa Ofisi ya CCM na Katibu UWT Mbinga,Soma zaidi Hpa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Cde. Jokate Mwegelo, amechangia kiasi cha Tsh Milioni 5 kwa ajili ya muendelezo wa Ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Read More