Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Cde. Jokate Mwegelo, amechangia kiasi cha Tsh Milioni 5 kwa ajili ya muendelezo wa Ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mbinga.
Vilevile , Cde. Jokate amechangia kiasi cha Tsh Milioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Wilaya ya Mbinga.
Cde. Jokate amechangia michango hiyo alipokuwa Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma tarehe 15 Disemba, 2023.
Aidha, Cde. Jokate amehimiza kuendelea kuwa na umoja katika kufanikisha ukamilishwaji wa Ujenzi wa Ofisi na Nyumba hiyo kwani uwepo wa Ofisi utasaidia katika kufanya kazi kwa ufanisi katika ushirikiano wa ukaribu pamoja na utunzaji wa nyaraka katika hali ya usalama.
#UWTImara
#JeshiLaMamaSamia
#KaziIendelee
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









