Baada ya hivi karibuni mchekeshaji maarufu Bongo, Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’ kumvisha pete ya uchumba, mchumba’ke, Philomena Thadei na kuangua kilio, mwenyewe ameibuka na kufichua kilichomliza. MC Pilipili aliangua kilio