Martin Fayulu, mgombea urais wa upinzani DRC aliyeibuka wa pili, ameyakataa matokeo yaliyotangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi. Matokeo ya awali yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (CENI)