Habari wadau…. Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu..coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe mnyakyusa,mhaya au mchaga..bila kutoa ufafanuzi..kwanini..hebu tujadiliane..kama unafahamu chochote kuhusu makatazo Haya