WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Bw. Innocent Bashungwa amesema kuwa katika mwaka huu wa fedha 2021/22 Serikali inatarajia kuajiri watumishi 17,412