SOMA HAPA HILI ONYO ZITO KWA MASTAA WANAOMFUATA LOWASSA!!NA HUYU NDIYE ALIYELITOA

Admin Updates9 years ago5 Views

Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford.

Gladness Mallya
STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford amewaasa mastaa waliotangaza kumfuata Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ambaye amehamia UKAWA hivi karibuni akitokea CCM kwamba waachane na tabia ya kufuata mkumbo.
Akipiga stori na gazeti hili alisema kwamba wale mastaa wanaomfuata Lowassa wanatakiwa kuwa makini na wasikurupuke kwa kufuata mkumbo bali watafakari kwanza kwamba yeyote wanayemshabikia anafaa na atawasaidia katika maisha na kazi zao kwani wengi wanajikuta wakifuata mkumbo tu.
“Mimi sijui niko upande gani ila yeyote atakayeonekana anafaa kutuongoza sisi wananchi ndiye nitakayemsapoti, huwa sina mambo ya timu kwa kweli, nawasihi wasanii wenzangu waachane na kukurupuka katika mambo haya ya siasa,” alisema Shamsa.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.