SIRI NJEE:SUPA STAA HUYU WA MUVI BONGO NA NEY WA MITEGO NDANI YA “PENZI ZITO” SASA..MFAHAMU HAPA

Admin Updates10 years ago6 Views



Baada ya ivi karibuni staa aliyefanya vizuri kwenye movie ya CHAUSIKU,
shamsa ford kutangaza rasmi kuachana na aliyekuwa mume wake, kwa kigezo
kuwa mwanaume huyo alikuwa akimtesa na kumpiga kwa muda mrefu, uku
akimshutumu mwanaume huyo kutoijali familia yake zaidi ya marafiki na
starehe, kitu ambacho kimemfanya staa huyo ajiweke pembeni kuepusha
msongamano.





Siku chache baada ya staa huyo kutangaza rasmi kuachana na zilipendwa
wake huyo anayefahamika kwa jina moja la dickson, ivi sasa staa huyo
yupo kwenye mahaba mazito na mwana hip hop maarufu nchini, ney wa
mitego, ambapo kwa nyakati tofauti wameonekana wakiwa wote zero distance
, uku wakijiachia na mapicha kama ilivyo kawaida ya mastaa watafuta
kick.





Kitendo hicho kimewashtua kama sio kuwapandisha presha wapenda ubuyu wa mujini.




Udaku Specially Blog
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.