Simanzi:Mtangazaji Gadner G.Habash wa Clouds Afariki Dunia

Admin Updates1 year ago5 Views

 

Mtangazaji Mkongwe wa CloudsFM Gardner G. Habash amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokua amelazwa kwa siku kadhaa akipatiwa matibabu. 

Radio Clouds FM tayari imebadilisha playlist yake kwa kuanza kupiga nyimbo za maombolezo kufuatia msiba huo. 

Masama Blog  itaendelea kukupa taarifa zaidi kuhusu msiba huu, Pumzika kwa amani my Brother G Habash! 🙏🏿🙏🏿

SOMA UJUMBE WA RAFIKI  WA KARIBU WA GADNER KINJE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU ALICHOANDIKA KUHUSU GADNER


Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.