Rayvanny ameamua Kumjibu ray kigosi…. Kwa kutupia Picha Hizi za mtoto Wake Angalia Hapa

Special Correspondent7 years ago8 Views

Muiambaji wa WCB, Ray Vanny ambaye ni mzaliwa mkoani Mbeya, weekend hii alionekana akiwa na mama watoto wake nyumbani kwao Mbeya. Wawili hao wakiwa mkoani humo waliweza kuhudhuria ibada katika kanisa moja ambalo halikutambulika mara moja. Pia waliambata na mtoto wao mdogo aitwaye, Jaydan.
Couple hiyo ni moja kati ya Couple ambazo zinawavutia watu wengi zaidi nchini kwasasa kutokana na kuishi maisha yao bila kuwa na skendo kama za mastaa wengine. Angalia picha zao wakiwa Mbeya.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...