RAY C AKANA TETESI KUWA AMEANZA KUJISOGEZA TENA KWA LORD EYEZ ALIYEMFUNDISHA KUTUMIA UNGA, ASEMA HAYA

Admin Updates10 years ago5 Views


Ngoma
mpya itakayotoka hivi karibuni ambayo Lord Eyez amemshirikisha Ray C
haimaanishi kuwa mastaa hao waliowahi kuwa wapenzi wamerudisha ukaribu
wao.


Kwa mujibu wa Ray C, wimbo huo ulirekodiwa miaka 7 iliyopita.

Ray C amepost picha hii kwenye Instagram na kuitolea maelezo hapo chini

Mambo
iende kwa wote wanipendao! Naomba tu kuwajulisha kuwa Nimeskia Lord
Eyes anakaribia kuutoa wimbo uitwao Matatizo ambao alinishirikisha!Najua
wengi wanaweza tafsiri vingine lakini Niwambie tu kwamba Huu wimbo
tuliurekodi miaka SABA ILiopita nchini Kenya kipindi tuko pamoja na si
kipindi cha hivi karibuni!Nimeona niongee tu maana naona magazeti
yashaanza Udaku
,” ameandika Ray C kwenye Instagram.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.