PPRA WAENDESHA MAFUNZO YA PMIS KWA MAAFISA UGAVI TANZANIA

Admin Updates11 years ago3 Views


 Mamlaka ya udhibiti na ununuzi wa
umma(PPRA)wameanza mafunzo maalum ya kutoa taarifa za manunuzi kwa njia ya mtandao kwa maafisa ugavi na asasi zinazofanya
ununuzi kwa kutumia fedha za umma yaani Procurement Management Information  System(PMIS).


 Baadhi wa wasiriki wa mafunzo hayo ya siku nne yanayoendeshwa na mamlaka ya udhibiti ya ununuzi wa umma PPRA
Mafunzo hayo ambayo yalifunguliwa na kaimu afisa mtendaji mkuu wa PPRA,Mhandisi Dkt.Laurent Shirima yalianza jana tarehe 12 /11
katika hoteli ya Naura Springs iliyopo jijini Arusha na yanatarajiwa kukamilika tarehe
15 mwezi huu ambapo washiriki zaidi ya 100 toka idara mabalimbali za serikali watatunukiwa
vyeti ya kuhitimu mafunzo hayo  yenye
lengo la kuboresha mfumo  wa kutumia
teknolojia katika kutoa ripoti mbalimbali za manunuzi.
Mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo Bw.Kennedy Ndosi akihojiwa na waandishi wa habari Deo Kasamiawa clouds TV (kushoto) pamoja na Dotto Mzava (katikati)wa gazeti la Jambo Leo waliotaka kujua kuhusu namna mafunzo hayo yanavyoweza kuleta mabadiliko katika sekta ya ununuzi na taifa kwa ujumla. 

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.