Idarous, ambao ndio waandaji wa maonyesho hayo, amesema tofauti na
maonyesho mengine yaliyotangulia, Kanga ya Kale ya mwaka huu ina ladha
tofauti kidogo ilikuwapa radha wadau wake..
mitindo ya kanga pia kuonyesha yale ya zamani ili kuleta vionjo zaidi
kwa wavaaji wa sasa, tunakusudia kutoa darasa kuhusiana na thamani ya
kanga japo kwa muda mfupi tu”, alisema.
khanga ndilo litakuwa maalumu kwa wadau watakaohudhuria sambamba na
kupinga matumizi ya dawa za kulevya.
30,000 na viti maalumu itakuwa ni sh 50,000 ambako tiketi zinaendelea
kuuzwa Fabak Fashions Mikocheni na Gift Shop Serena Hotel pamoja na
mlangoni hapo hapo Serena hotel.
umedhaminiwa na Redd’s, CXC, Clouds FM, Vayle Spring, Magic FM, Eye
View, Amina Design, Kabile, Voice of America, Origin Unite, Channel Ten,
DTV, Times FM, Michuzi Media Group, Event Light na Miss Tanzania, New
Africatv.com, Kajuna blog,Vijimambo blog na wengineo kibao.































