Paul Makonda Atoa Mpya ‘Tanzania Hakuna Chama Cha Upinzani, Ina Watoa Taarifa’

Admin Updates1 year ago6 Views

“Tanzania haina Chama Cha Upinzani, Tanzania ina watoa taarifa waliojikusanya katika jina la vyama.
Ukimuona Tundu Lissu anaongea sio chama ni mtu tu anatoa taarifa na wakati mwingine taarifa anayoweza kuitoa inawezekana kabisa ikawa imetoka kwenye chanzo mbacho sio cha ukweli au sio cha uhakika lakini kwasababu ni mtoa taarifa.
Kazi ya chama chetu ni kuzisikiliza zile taarifa zao na badala ya kushughulika na mtoa taarifa tunashughulika na aliyesababisha hizo taarifa kutoka”. ~ Paul Makonda, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM.

 

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...