Meya wa Ilala kupitia chama cha CHADEMA Charles Kuyeko ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kumuunga mkono Rais Dkt John Pombe Magufuli. ” Rais Magufuli ni mtu wa kuigwa, anastahili sifa na kazi ya kutukuka, nawaheshimu Viongozi wa CHADEMA kwa kunipa nafasi, nawashukuru na nitaendelea kuwaheshimu lakini mapenzi yangu ya dhati ni CCM ”.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2JAb337
via