MUONE LIVE HAPA DIAMOND PLATNUMZ NA FALLY IPUPA WAKIWA MJENGONI BIG BROTHER

Admin Updates10 years ago4 Views


.

Hii ni mara ya pili kwa msanii Diamond Platnumz kualikwa ndani ya jumba la BBA akiwa na mwanamuziki kutoka Congo, Fally Ipupa
ambapo wameshiriki chakula cha mchana pamoja na washiriki waliobaki
kwenye Jumba hilo, safari hii wasanii hao wameingia kwa ajili ya
kuhamasisha ONE Campain ambayo inahusu kilimo, moja ya
Project zilizowahi kufanywa na Kampeni hiyo ni ile nyimbo ya Cocoa na
Chocolate ambayo wameshiriki pia mastaa wengine kibao kutoka Afrika.

.
.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.