MSANII CHRIS BROWN ANUSURIKA KIFO, SUGE KNIGHT AKIJERUHIWA KWA RISASI

Admin Updates10 years ago20 Views

Cris Brown akiwa Klabu 1OAK kabla ya vurugu kutokea.

Prodyuza mkongwe, Suge Knight amejeruhiwa tumboni na mkononi katika shambulio hilo.


MWIMBAJI Cris Brown amenusurika kuuawa katika shambulio la risasi
ndani ya klabu ya usiku jijini Los Angeles ambapo prodyuza Suge Knight
amejeruhiwa.




Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo katika klabu ya usiku
iitwayo 1OAK iliyopo magharibi mwa Hollywood wakati wa shoo iliyokuwa
ikiongozwa na Cris Brown kabla ya zoezi la utoaji Tuzo za VMA ambapo
watu watatu wamejeruhiwa mmoja akiwa mahututi.




Suge Knight alipigwa risasi mara mbili tumboni na mkononi na kukimbizwa hospitali ambapo anaendelea na matibabu.




Mastaa wengine waliokuwepo kwenye klabu hiyo wakati tukio hilo
likitokea ni pamoja na Justin Bieber, rappa The Game, Pia Mia, Tyson
Beckford, Robert Ri’chard  na wengineo.




Indaiwa mlengwa mkuu katika shambulio hilo alikuwa Cris Brown.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...