Mkali wa movie ya Empire Taraji P, apewa heshima hii kubwa Hollywood

Special Correspondent6 years ago8 Views

Mkali wa movie ya Empire Taraji P, apewa heshima hii kubwa Hollywood

Katika moja ya movie ilijizolea umaarufu mkubwa kwa kuangalia na watu wakila rika duniani kote, Movie ambayo ni aina ya tamthilia ambayo iliongzwa na mmoja ya mwanadada mashuhuri sana anayejulikana kwa jina la Taraji P. Henson.

Miongoni mwa washiriki wakubwa katika movie hiyo ni pamoja na:-

Empire Season 5 Main Cast Members
Taraji P. Henson as Cookie Lyon
Terrence Howard as Lucious Lyon
Trai Byers as Andre Lyon
Jussie Smollett as Jamal Lyon
Bryshere Y. Gray as Hakeem Lyon
Tiana Brown as Seraya
Gabourey Sidibe as Becky Williams
Ta’Rhonda Jones as Porsha Taylor
Andre Royo as Thirsty Rawlings
Nicole Ari Parker as Giselle Barker
Rhyon Nicole Brown as Maya

Katika movie hiyo ya Empire mwanadada Taraji P ametumia jina la Cookie lyon ambaye amecheza kama mke wake Lucious na baadhi ya watoto wake ni kama
Jamal Lyon, Hakeem Lyon.

Sasa mwanadada huyu ameweza kupewa heshima ya juu sana baada ya kukabidhiwa nyota yake Hollywood Walk of Fame, heshima ambayo wamepewa mastaa wachache sana Hollywood.

Ikumbukwe kwamba tuzo za Oscar zimemuorodhesha katika kipengele cha msanii mwenye hisia kwani wakati wa sherehe, alimwambia bibi yake kuwa ndio msukumo kwa kazi yake yote.

na kukiambi kituo cha ETonline kwamba “Unajua napenda nini kutoka kwa bibi yangu ni upendo wake usio na masharti,” na jinsi alivyoweka familia karibu.”

Lakini pia Aliiambia City News Service, chanzo kikiwa ni KNSD-TV, kuwa

Heshima inathibitishwa kuwepo hata licha ya hali ya maisha yako magumu ikiwa umezaliwa nao au tu hiyo hali imetokea njiani, haijalishi kwa sababu ukimuamini Mungu, wote mambo yanawezekana,”aliiambia City News Service.

Yote haya yanasababisha kumpa heshima lakini kuwa katika kipengele cha msanii mwenye hisia zaidi akiongea kitu.

from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2HEjdGJ
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...