Mapenzi:Jamani Mume hanifikishi kisawasawa, Akimaliza yeye mimi nabaki bado na hamu..nisaidieni

Admin Updates10 years ago6 Views


Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina
watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu
(wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye
ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli….yaani nikikutana
nae…aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia
kabisa….na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli
nilikuwa najisikia nime…..! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne
hivi, yale mapigo ya sawa sawa.

Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi…da, baba watoto kwa kweli
ana underperform kabisa….wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na
mimi mwanamke huwa nahitaji…nikimwambia anasema nimechoka sana
kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa,
lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi
moja kati ya mambno haya:

1. Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini
huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuwa hoi

2. Labda umbile langu limemchosha, coz kabla hatujaoana nilikuwa na
bambataa ya wastani na kiuno chembamba, lakini now sio utani, nyonga
imebaki vile vile lakini makalio yameongezeka mara-dufu, so huwa hafikii
pale “Dar es Salaam” kisawasawa 

Haya yoye ni mawazo yangu ambayo ninayo moyoni. Sasa sijajua kama
nimuulize au na mimi nianze kupiga show za nje kwani wanaonitongoza
nikiwapanga kuanzia Dar, basi watafika hadi Morogoro……tatizo
nampenda baba watoto na nimempa muda wa kama miezi 6 hivi, kama
hatobadilika, basi nita-confirm namba moja ya hapo juu….So na mimi
nitaanzia  kutafuta wa kurusha nae roho.

Naomba mnisaidie what to do at the moment.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...