MAMA SAMIA SULUHU: NAPIGA GOTI MBELE YA MUME WANGU KUONESHA HUBA NA MAPENZI

Special Correspondent7 years ago4 Views

Makamu wa rais Samia Suluhu Hassan, amesema pamoja na wadhfa alionao, lakini mbele ya mume wake atapiga goti ili kuonesha mahaba aliyonayo kwake.


Mheshimiwa Samia Suluhu alitoa kauli hiyo jana Septemba 5,2017 wakati akizindua tamasha la 14 la Jinsia mwaka 2017 lilirotaribiwa na TGNP Mtandao na Taasisi ya Mafunzo ya Jinsia (GTI) katika Viwanja vya TGNP Mtandao Mabibo Jijini Dar es salaam lenye mada kuu isemayo “ Mageuzi ya Mifumo Kandamizi Kwa Usawa wa Kijinsia na Maendeleo Endelevu”.


Alisema wanawake hawako sawa katika nyanja zote za kijamii na wanatakiwa kutunza mila na desturi nzuri, na kuelezea kuwa hapigi goti kwa mume wake kwa sababu ni mdhaifu ‘inferior’ ila ni kuonyesha mapenzi na huba.

“Tushirikiane bila kuacha mila na desturi zetu nzuri,tuende na wanaume katika kuleta maendeleo yetu…hatuko sawa katika nyanja zote za kijamii,mimi na umakamu wangu wa rais mbele ya mume wangu nitapiga goti,na sipigi goti kwamba ni Inferior,hapana!,napiga goti kwa sababu ya huba na mapenzi”..Samia Suluhu.

MSIKILIZE HAPA AKIZUNGUMZA

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.