Jionee hapa live Lipumba alivyochukuliwa fomu ya kuwani Urais..Anena na kusema “nilisita sana Kiingereza vijana kinawasumbua” (+video)

Special Correspondent4 years ago5 Views


Vijana wa Chama Cha Wananchi (CUF) Wilaya ya Kinondoni wamemchukulia fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Urais Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba.
Katibu wa chama hicho Wilaya ya Kinondoni, Suleiman Masauni amewataka wanachama wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ikiwemo Urais kujitokeza na kuchukua fomu ambazo gharama yake ni shilingi laki 5.
Kwa upande wake Katibu wa Jumuiya ya Vijana wa Ilala, Salim Muslim amesema jumuiya ya vijana imefikia uamuzi huo baada ya kutafakari na kuona kiongozi huyo anazo sifa za kugombea nafasi Urais kutokana na ubobezi katika masuala ya uchumi.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.