JE UNAFAHAMU KUWA KUNA WATU DUNIANI HUWA HAWAKUMBATIWI?

Admin Updates10 years ago7 Views




guiltyUnaweza ukafanya kitu kwa mtu halafu akakupa tabasamu feki na ukahisi kwamba kafurahia kumbe ana lake moyoni.
Juzi
siku ya Jumatatu Desemba 08, kulikuwa na taarifa kubwa kutoka Marekani
inayohusiana na ziara ya Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William na Mke wakeKate Marekani ambapo walipata bahati ya kukutana na mastaa Jay ZBeyonce pamoja na mchezaji wa Basketball kutoka timu ya Cavs, LeBron James.

Hiyo ilikuwa stori kubwa Marekani, hivi kumbe vyombo vya habari na Mitandao ya Kijamii Uingereza vilikuwa na story tofauti?

Picha aliyopiga staa wa Basketball, LeBron akiwa amemshika bega Kate kumbe amekiuka ‘protocol’ za falme ya Uingereza, huo ndio ulikuwa mjadala mkubwa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari UK.

LeBron


Prince William, Kate na LeBron James.

LeBron sio mtu wa kwanza kuvunja protocol hiyo, hata Michelle Obama aliwahi kufanya kosa kama hilo kwa kumkumbatia Queen Elizabeth II mwaka 2009.

Michelle
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.