Unaweza ukafanya kitu kwa mtu halafu akakupa tabasamu feki na ukahisi kwamba kafurahia kumbe ana lake moyoni.
Juzi
siku ya Jumatatu Desemba 08, kulikuwa na taarifa kubwa kutoka Marekani
inayohusiana na ziara ya Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William na Mke wakeKate Marekani ambapo walipata bahati ya kukutana na mastaa Jay Z, Beyonce pamoja na mchezaji wa Basketball kutoka timu ya Cavs, LeBron James.
siku ya Jumatatu Desemba 08, kulikuwa na taarifa kubwa kutoka Marekani
inayohusiana na ziara ya Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Prince William na Mke wakeKate Marekani ambapo walipata bahati ya kukutana na mastaa Jay Z, Beyonce pamoja na mchezaji wa Basketball kutoka timu ya Cavs, LeBron James.
Hiyo ilikuwa stori kubwa Marekani, hivi kumbe vyombo vya habari na Mitandao ya Kijamii Uingereza vilikuwa na story tofauti?
Picha aliyopiga staa wa Basketball, LeBron akiwa amemshika bega Kate kumbe amekiuka ‘protocol’ za falme ya Uingereza, huo ndio ulikuwa mjadala mkubwa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari UK.
LeBron sio mtu wa kwanza kuvunja protocol hiyo, hata Michelle Obama aliwahi kufanya kosa kama hilo kwa kumkumbatia Queen Elizabeth II mwaka 2009.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







