HUYU NDIYE POWERFUL CELEBRITY IN THE WORD’ KATI YA MASTAA 100 WA DUNIA.

Admin Updates10 years ago9 Views

Kwa
mujibu wa Forbes magazine, Beyonce anashikilia rekodi ya mkwanja mrefu
akimfunika hadi mumewe Jay Z na mastaa wengine kama Oprah
Winfrey,Rihanna na wengine ambao wako kwenye list chini hapo.Angalia
orodha ya mastaa 10 wenye utajiri mkubwa na kiasi walichovuna kutoka
mwezi June mwaka 2013 mpaka June 2014 ..
1. Beyonce: $115million

2. LeBron James – $72million,

3. Dr. Dre – $620million

4.Oprah Winfrey-  $82million

5. Ellen DeGeneres  – $70million

6 .Jay Z – $60million

7. Floyd Mayweather- $105million

8. Rihanna –  $48million

9. Katy Perry- $40million

10. Robert Downey Jnr – $75million.

Kati ya mastaa hao 10 walio kwenye orodha kwa mwaka 2014 kama mastaa
walio na pesa,7 kati yao ni weusi huku Justin Bieber akishuka kiwango
kwa kasi kutoka namba 9 mwaka jana mpaka namba 33 mwaka huu!

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Previous Post

Next Post

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...