Aliyekuwa kocha wa Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi yupo ukingoni kutangazwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Raja Casablanca ya Morocco akichukua mikoba ya Ricardo Sa Pinto aliyetupiwa virago