Historia imeandikwa: Rais Samia huyu hapa ndani ya Kongamano la BAWACHA Live

Admin Updates2 years ago8 Views

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani, lilioandaliwa na Baraza la Wanawake wa CHADEMA – BAWACHA, katika Ukumbi wa Kuringe uliopo Moshi mjini Mkoa wa Kilimanjaro akiwa ni mgeni rasmi jambo ambalo limeweka historia nzuri na ya aina yake katika sisa za Demokrasia Nchini Tanzania..

Kongamano hilo, linafanyika hii leo tarehe 08 Machi, 2023 na limehudhuriwa pia na Viongozi mbalimbali wa Serikali, akiwemo Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima, Viongozi wa Dini na Wanachama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).


 

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...