Shetta anamtoto mmoja wa kike kwa
jina la Qayllah. Alizaliwa mwaka 2012 na tumeanza list hii na Shetta
kwasababu jamaa aliamua kumpa mtoto wake gari aina ya Opa mwaka 2003
rangi ya Silver siku chache baada ya kuzaliwa.”
Nisingependa
mwanangu akodishiwe Tax au kudandia lift kwenye gari za watu wakati wa
kupelekwa clinic na sehem mbalimbali….hivyo ndio maana nikaamua
kujidhiki na kumnunulia binti yangu gari hii na pia kuudhihirishia umma
ni kiasi gani nampenda na kumthamini mwanangu kipenzi” alisema shetta.
Mwana FA
Mwana Fa ana mtoto wa kike anayeitwa Maleeka ambaye alitimiza miaka miwili mwaka
jana.“Nimekuwa
very careful, I am worried, siko reckless kama nilivyokuwa. Naogopa nina
mtu ananitazama na sitaki kumwangusha. Watu wengine tumekua kidogo juu
juu sana, sitaki maisha yangu ambayo mimi nimekua impitie mwanangu hata
kidogo,” alisema FA kwenye birthday ya mtoto wake.
Ali Kiba
Ali kiba naye ana mtoto wa kiume ingawa hapendi sana kumzungumzia kwenye mitandao.
Mr.blue

Mr.blue
na mchumba wake Waheeda wamekua pamoja kwa miaka 10 sasa na along the
way walipata mtoto anayeitwa kherry.“it feels great to be a father , in
fact the greatest moment in my life was the day kherry was put on my
arms. Nilikua na hisia zisizoelezeka”. Blue alisema haya kwenye
interview tuliyofanya nae.
Barnaba
Barnaba naye anamtoto wa kiume
anayeitwa steven na kama ulikua haujui jina alilompa ni kwa ajili ya
kumuenzi mkali wa bongo movies marehemu steven kanumba.
Gelly wa rhymes
Gelly wa rhymes naye ana mtoto wa