Hongera! Umepata mpenzi wako ambae unataka kufunga nae pingu za maisha, mme chumbiana.
Uchumba si kuhusu ndoa tu bali ni msingi wa kuunga na kujenga mahusiano utakao dumu milele.
Ni muhimu wapenzi kutafuta ushauri kabla ya ndoa/kuoana.
Vilevile ni muhimu kuchunguza maswala haya kwa pamoja mkishirikiana;
- Je, imani na ngazi zako za kidini ni zipi(spiritual and religious beliefs)?
- Maswala ya kiroho/dini ni muhimu kwa kiwango gani kwako?
- Watoto wayalelewa kwa imani(faith) gani?
- Imani ina maana gani katika maisha yetu ya kila siku?
- Financial state yenyu imekaa vipi?
- Je, kama wewe ni bwanaharusi utamruhusu mkeo kufanya kazi?
- Mtashirikiana vipi kufanya miradi na maendeleo kuongeza kipato?
- Matarajio yako ya fedha ni gani? kama mke, utamtegemea tu mme kila wakati?
- Je, mnataka watoto? kama hamtaki kwanini?
- kama mnataka watoto, mnataka wangapi?
- Je, mmoja wetu akibadilisha mawazo?
- Watoto mtawalea kwa msingi na mtindo gani?
- Tutashirikiana vipi kulea kama wazazi?
- Mahusiano yetu na familia zetu zikoje?
- Je, tukihitaji mawaidha, tunaweza tafuta professional help?
- Mipangilio na mabadiliko ya maisha yetu baada ya mwaki ni ipi?
- Tunatarajia kuishi maisha ya aina gani?
- Ni vitu zipi muhimu tunazozithamini?
- Je, are you willing to sacrifice for the other’s happiness?
- Maoni yako ni gani kuhusu talaka?
- Je, mnaweza kuhudhuria couples counselling(ushauri wa ndoa) pamoja?
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









