Gazeti
la udaku la KIU, limeripoti kuwa hali ndani ya kampuni ya RJ inaendelea
kutokuwa shwari kwa kile kinachodaiwa kuwa kuwa wakurugenzi waanzilishi
wa kampuni hiyo Vicent Kigosi ‘Ray’ na Blandina Chagula ‘Johari’
kutokuwa na maelewano mazuri na sasa ikidawa kuwa chanzo ni pesa kutoka
kwa wadhamni waliokuwa wakihitaji kudhamini filamu inayotengenezwa na
makampuni hayo.
Chazo
hicho ambacho kipo ndani ya kampuni hiyo kilisema kuwa pesa hizo
zilitolewa na mfanyabiashara maarufu ambaye aliombwa kutoa msaada
katika kufanikisha filamu hiyo ambayo ilikuwa iwashirikishe wasanii
kutoka Nigeria lakini imeshindikana kutokana na mgogoro wa kiuongozi
uliopo kati ya wakurugenzi hao wawili.
Chanzo
hicho kiliendelea kusema kuwa mtu wa kwanza amabaye anaonekana sio
muaminifu katika pesa hizo ni Ray kwani mara baada ya mfanyabiashara
huyo kukubalia pesa hizo alikuwa akienda kufuatilia msaada kinyemela
akiwa na Chuchu huku Johari akibaki ofisini.
Aliendelea
kusema kuwa Ray alikuwa akitumia mwanya wa kuwa na mahusiano na Chuchu
kwa hiyo hata walipokuwa wakitoka ofisini Johari alikuwa akijua kuwa ni
mtoko wa kimapenzi ya kawaida lakini kumbe wao walikuwa wanakwenda kwa
mdhamini kuchota pesa za filamu hiyo.
“Baada
ya Johari kugundua kuwa kuna mchezo unaochezeka nyuma ya pazia
ndipoalipoamua kwenda moja kwa moja kwa mfanya biashara huyo kwasababu
yeye ndiye aliekuwa connection ya mchongo huo”.
Gazeti
la hilo liliwasiliana na Johari kwa njia ya simu kuhusiana na jambo
hilo lakina mara baada ya kupokea simu alisema kuwa yupo kikaoni
atafutwe badae.
Kwasasa
nipo kwenye kikao siwezi kuzungumzia swa hilo nitafute badae” alisema
Johari na kukata simu.Licha ya kutafutwa badae simu yake haikuwa hewani
mpaka gazeti hilo linakwenda mitamboni. Ray hakupatikana kabisa kwenye
simu.
-udakuspecially

Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33