HAWA NI WENGINE WALIOTAJWA KUPERFORM KWENYE STAGE YA TUZO ZA GRAMMY 2015

Admin Updates10 years ago5 Views

The 54th Annual GRAMMY Awards - Press Room



February 8, 2015 Los Angeles Marekani kutakuwa na tukio la utoaji wa Tuzo za Grammy, mastaa kibao wametajwa kuwania tuzo hizo, yako mengine mapya leo nashare na wewe.



Rapper mkongwe Marekani, LL Cool J ametajwa kuwa ndiye MC wa shughuli hiyo mwanzo mwisho.



Jipya lingine ninalokusogezea ni kwamba ile list ya watakaofanya show siku hiyo imeongezeka, Pharell William, Sam Smith, Usher Raymond, Madonna, John Legend, Ariana Grande na Miranda Lambert watanogesha usiku huo kwa show ya nguvu.


.

LL Cool J


.

Miranda Lambert.


.

Pharrell William.



.
Usher Raymond.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.