HATIMAYE DIAMOND ATOBOA SIRI UJAUZITO WA ZARI!!..KUMBE WAMEPITA PAGUMU BALAA..JISOMEE

10 years ago127 Views


Diamond Platinumz
Msanii
wa muziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul,”Sukari ya Warembo” amefunguka
kuhusu ujauzito wa mwanadada Zari, “zarithebosslady”.
Usiku wa jana
alipost picha za vyeti vya vipimo vya ultrasound na baadaye Zari akapost
picha ya vipimo hivyo bila kuandika chochote.
Picha hizo zimewafanya watu kufunguka na kudai huenda mwaka huu wakabarikiwa kuwa na mtoto.

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Diamond na Zari
Hata
hivyo inasemekana wimbo wa “nitampata wapi” ulikuwa dedicated kwa
mrembo huyo ambaye ingawa mbali na kuwa na idadi kubwa ya warembo
hajawahi kusingiziwa mtoto. Je uhusiano wao utadu
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.