Haji Manara “Kibu Denis ni Mshambuliaji HATARI ni vile tu yuko Timu Mbovu Isiyokuwa na Mwelekeo”

Admin Updates1 year ago7 Views

“Huyu Jamaa akipata maelekezo kidogo tu hakuna anaemsogelea nchini katika Washambuliaji local, ni vile tu anacheza Club ambayo haishindi Mataji makubwa na iliopoteza mwelekeo wake”

“Kibu akipata Team imara kisha akazungukwa na mafundi uwanjani ni hadithi tamu mno kumuona akicheza,ana offer vtu vingi ambavyo Strikers wetu hawana. Kibu Denga ni Mtu wa maana kabisa au Wananchi mnasemaje? 😜” Haji Manara.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...