DIAMOND PLATINUMZ HAKIKA AMEDATA ILE MBAYA KWA ZARI ..ANGALIA HAPA ANACHOMFANYIA TUMBONI

Admin Updates10 years ago3 Views

Diamond
Platinums akibusu Tumbo la Mpenzi wake Zari the big Boss Lady leo
zanzibar walipokuwa Mapumzikoni mara baada ya Diamond Jana usiku
kuangusha Bonge la Show bab kubwa Katika viwanja vya Ngome Konge
Zanzubar.Zari ambaye ni Mjamzito wamwkuwa wakitenda Vyombo vya habari
Pamoja na Mitandao ya Kijamii kutokana na Uhusiano wao,Katika Mitandao
ya Kijamii kwa sasa Ni Nadra sana Kupita siku mbili bila uhusiano wa
Mtanzania Mwenzetu Diamond Pamoja na Mwanadada Huyu Mrembo Zari Kutoka
Jijini Kampala Nchini Uganda.Mwanadada Zari Amabye si Mwenye Maneno
Mengi Wiki hii yaani Tarehe 1.5 2O15 Atafanya Show yake ijulikanayo kama
White Party katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.Endelea
Kuwa nasi kwa kila Tukio linalojiri Kuhusu Wawili Hawa,

       



Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.