Mwandishi wetuMastaa
mbalimbali wa Bongo wamekuwa wakiandamwa na skendo huku baadhi wakiona
ndiyo njia ya kujing’arisha kisanii.Skendo zao zimekuwa za aina
mbalimbali lakini wengi wamekuwa wakiandamwa na skendo za ngono.Katika
makala haya utaipata Top 10 ya mastaa wa kike waliondamwa na skendo za
ngono. Baadhi wamekumbwa na skendo za kunaswa kwenye mitego ya kujiuza
na wengine wakiingia kwenye listi hii kutokana na tabia ya kubadili
wanaume kama nguo.
Kwa maana
hiyo kumi bora hii itawagawa katika Kundi A na B ambapo Kundi A ni la
wale ambao walikanyaga skendo ya kujiuza na Kundi B ni la waliogandwa na
skendo ya ngono kwa tabia zao za kubadili wanaume.

KUNDI A
Mmoja
kati ya mastaa wanaoingia kwenye kundi hili ni Jacqueline Pentzel ‘Jack
Chuz’. Huyu aliwahi kuwekewa mtego na kunaswa baada ya kukubali kujiuza
kwa mwanaume aliyemtajia dau kubwa na hatimaye akaingia mkenge.
Lulu
Semagongo; aliwahi kuingia kichwakichwa kwenye mtego kama wa Jack Chuz
ambapo naye aliwahi kutegeshewa mwanaume na kuulizwa kama anaweza
kukubali kuuza ngono kwa kiasi gani.

Kuashiria
kuwa ndo’ zake, akitoa dau lake na mchezo ukaenda hadi gesti ambapo
alifumwa laivu na mwanaume huyo kitandani.Baby Madaha; Licha ya kipindi
f’lani kudaiwa kuwa kwenye uhusiano na meneja wake aitwaye Joe Kairuki,
aliwekewa mtego kwa kutumiwa meseji na mwanaume kuulizwa kama wanaweza
kukutana faragha na kwa kiasi gani ambapo naye alitoa dau lake.

Jacqueline Pentzel ‘Jack wa Chuz’.
Hata
hivyo, baadaye alishtukia mchezo licha ya mawasiliano yake na mwanaume
huyo kuonekana wazi kwamba alikuwa anaelekea kuingia kingi. Isabella
Francis ‘Vai wa Ukweli; Naye aliwahi kudaiwa kuyaendesha maisha yake kwa
kuigiza na kujiuza pia, akawekewa mtego kama ilivyo kwa wenzake na siku
ya tukio, alifika hadi ‘kiwanja’ huku akisisitiza kwamba fedha mbele.
Kutokana na maelezo yake hayo, ikaonekana ni kweli huwa anafanya
k’abiashara hako’ haramu.

KUNDI B
Hili ni wale ambao wanasifika kwa katabia ka’ kubadili wanaume kama nguo.
Elizabeth
Michael ‘Lulu’; Kiumri anaonekana mdogo lakini naye yumo. Huyu aliwahi
kuripotiwa kuwa kwenye uhusiano wa siri na marehemu Steven Kanumba kisha
baadaye akadaiwa kutoka na mheshimiwa John Komba (marehemu ambaye
aliwahi kukanusha uvumi huo).

Pia binti
huyo anadaiwa kuwa eti alikuwa mpenzi wa huyu bilionea wa Arusha
aliyefariki dunia, juzikati aitwaye Lusekelo Samson ‘Seki’ ambaye kuna
kipindi pia Husna Maulid na Lulu waliwahi kudaiwa kugombana kisa kikiwa
ni mwanaume huyo.

Wema Sepetu
Ukiacha
wale ambao sisi hatuwajui, Wema amekuwa na msururu wa wanaume huku
staili yake ikiwa ni ile ya bandika-bandua. Wanaume ambao wengi ni
mastaa waliowahi kumgusa ni Herry Samir ‘Mr Blue’, marehemu Steven
Kanumba, Hartman Mbilinyi, Yusuf Jumbe, Chaz Baba, CK na Nasibu Abdul
‘Diamond Platnumz’.
Huyu pia aliwahi kupiga picha za utupu kadhaa katika kipindi chake cha ustaa, hali inayomfanya afiti kwenye Top 10 hii.

Jokate
Mwegelo; ni mwanadada anayeonekana mpole sana lakini naye hawezi
kukosekana kwenye orodha hii. Ni kati ya mastaa waliowahi kuwa na
uhusiano na wanaume mbalimbali wakiwemo Hasheem Thabit, Diamond
aliyempora kutoka kwa Wema na wengine ambao amekuwa akifanya siri.Pia ni
kati ya mastaa wanaopenda sana kupiga picha za nusu utupu, tabia
inayomfanya wakati mwingine atafsiriwe kuwa anatangaza biashara.

Jacqueline
Wolper; Anaingia kwenye orodha hii kutokana na ukweli kwamba amekuwa
akibadili wanaume mara kwa mara huku wakati mwingine akiingia kwenye
migogoro ya kugombea wanaume.Aliwahi kuingia kwenye mvutano na Husna
Maulid wakimgombea mwanaume aitwaye Radjabu Mwami. Pia mwanadada huyu
amekuwa akihusishwa na kale kamchezo ka’ usagaji ambapo mwenyewe amekuwa
akikanusha mara kwa mara.

Agness Gerald ‘Masogange’; Nani
asiyemjua mwanadada huyu kwa kupiga picha za nusu utupu huku akidaiwa
kuwa ni mmoja wa mastaa ambao wanaendesha maisha yao kwa kutegemea
wanaume?Mkanda wake wa ngono uliwahi kuvuja na mwenyewe amekuwa hajali
kulianika umbo lake tata.

Stara Thomas; ni
staa ambaye amekuwa kwenye gemu la muziki kwa muda mrefu. Naye
anaingia kwenye orodha hii kutokana na madai kuwa, aliwahi kuwa kwenye
uhusiano wa siri na marehemu Adam Kuambiana. Pia hivi karibuni mwanaume
aliyedaiwa kuwa ni mumewe aitwaye Raumu Ally alimfumania na mwanaume
mwingine.
Hao ni baadhi ya mastaa ambao wanaingia kwenye orodha.

Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33