Dada afunguka: Aliyekuwa Mume Wangu Anang’ang’ania Mtoto Asiye Wake…

Admin Updates2 years ago7 Views

 Katika maisha hakuna kitu kizuri kama uvumilivu, kuna watu ambao wamepishana na fursa kubwa katika maisha yao kisa tu walikosa uvumilivu kwa kipidi fulani, kuna watu wamepoteza watu wa muhimu katika maisha yao yote sababu ya kukosa uvumilivu. 

Nasema hivyo kwa sababu jambo kama hilo liliwahi kunitokea katika maisha yangu, mume wangu alinipoteza kisa tu kukosa uvumilivu katika ndoa yetu, na sasa anajutia na kunisumbua turudiane wakati mimi tayari nina mtu mwingine. 

Jina langu ni Mama Lulu, miaka kama saba iliyopita niliolewa na mwanaume ambaye nilimpenda na yeye alionyesha kunipenda sana ingwa kadiri miaka ilivyokuwa inasonga katika mapenzi ya ndoa yetu, ndivyo na upendo ulivyokuwa unaenda ukipungua. 

Sababu kubwa ilikuwa ni mimi kuchelewa kubeba ujauzito, tulikukaa kwa zaidi ya miaka mitatu bila kubeba ujauzito, jambo hilo lilifanya mume wangu kuanza ….

ENDELEA KUSOMA ZAIDI HAPA

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...