CHONGOLO KUONGOZA ZIARA YA SEKRETARIETI YA CCM MIKOA YA SINGIDA NA MANYARA

Admin Updates2 years ago6 Views

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Ndg. Daniel Chongolo kuanzaia Tarehe 27 Februari 2023 hadi Tarehe  10 Machi 2023,  anatarajia kufanya Ziara  ya Kuimarisha Chama na Kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi katika Mikoa ya Singida na Manyara .
Ndg. Chongolo ataambatana na wajumbe wa Sekretarieti; Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi  Ndg. Sophia Mjema  pamoja na Katibu wa NEC Organaizesheni  Ndg. Issa Haji Ussi (Gavu) 

 

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...