CHONGOLO APEWA HESHIMA YA UONGOZI WA KIHEHE, AFUNGUKA HAYA KWA WATANZANIA.

Admin Updates2 years ago6 Views

Katibu Mkuu wa CCM ndugu Daniel Godfrey Chongolo Pichani ameendelea na ziara ya kikazi ya kukiimarisha Chama ambapo ameongozana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi  na Uenezi Taifa Ndugu Sophia Mjema pamoja na Mjumbe wa Sekretariti ya Halmashjauri Kuu ya CCM ndugu Issa Gavu ambapo leo Chongolo amevalishwa Vazi la la kimila la Kumpa uongozi wa Heshima toka kwa viongozi wa kimila wa kabila la Wahehe lililopo mkoani Iringa.
 Aidha baada ya kuvalishwa vazi hilo ikiwa ni ishara ya uongozi wa kimila wa kabila hilo Ndugu Chongolo amesema…

”….Heshima ya uongozi wa kihehe. Ninashukuru ziara inaendelea vema. 
Tuna wajibu kuhudumia wananchi..”

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.