Katibu Mkuu wa CCM ndugu Daniel Godfrey Chongolo Pichani ameendelea na ziara ya kikazi ya kukiimarisha Chama ambapo ameongozana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi na Uenezi Taifa Ndugu Sophia Mjema pamoja na Mjumbe wa Sekretariti ya Halmashjauri Kuu ya CCM ndugu Issa Gavu ambapo leo Chongolo amevalishwa Vazi la la kimila la Kumpa uongozi wa Heshima toka kwa viongozi wa kimila wa kabila la Wahehe lililopo mkoani Iringa.
Aidha baada ya kuvalishwa vazi hilo ikiwa ni ishara ya uongozi wa kimila wa kabila hilo Ndugu Chongolo amesema…
”….Heshima ya uongozi wa kihehe. Ninashukuru ziara inaendelea vema.
Tuna wajibu kuhudumia wananchi..”
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







