Pichani Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe.Anthony Mavunde na Mbunge wa Ukonga Mhe.Jerry Silaa wakiingia Bungeni Tarehe 2 April 2023.
Leo 13/07/2024 Anaandika Waziri wa Ardhi Nyumba na Maenedeleo ya Makazi Mhe Jerry Silaa alipokutana na Mhe.Anthony Mtaka – (Mkuu wa Mkoa wa Njombe)Mhe.Anthony Mavunde (Waziri wa Madini) Mhe.Hussein Bashe (Waziri wa Kilimo) na ,Mhe. Njalu Silanga (Mbunge wa jimbo la Itilima) wakijadili mambo mbalimbali
pichani hapo chini Jerry Silaa anasema:-
Tukiwa kwenye Ziara ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan leo nimekutana na Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Cahama Cha Mapinduzi UVCCM 2008-2012 (2012-2017 extension)………….Inasemekeana siri kubwa ya viongozi hao ambao wana weledi na uzoefu mkubwa kwa sababu wametokana na chama cha mapinduzi kupitia jumuiya ya umoja wa Vijana.
Tukiwa hapa Inyonga- Mlele- Katavi.
Tumekubaliana na tunamuunga mkono Mhe Rais Kwa nyumba kituo cha kupoozea umeme wa gridi. Yes gridi ya Taifa. Kuanzia September, Dr Samia Suluhu Hassan anafikisha umeme wa gridi Katavi. Majenereta ya diesel yatazimwa.
FUNZO:
Kila unapokuwa na Lengo hakikisha unamtanguliza Mbele Mwenyezi Mungu kisha simamia Ndoto yako,na Lengo lako…Masama Blog inatoa Hongera sana kwa Viongozi hawa kwa kuaminiwa katika nafasi zao na kuendelea kuwa walimu wa wengine.