Inafahamika wazi kabisa mara baada ya kutumia muda mwingi na gharama nyingi kumfukuzia msichana na hatimaye kuingia kwenye mahusiano kifuatacho ni kuingia katikati ya miguu ya msichana.Umekuwa ukijiuliza ni namna gani unaweza usihangaike sana kumshawishi mpenzi wako na kumfanya mwenyewe akuombe mapenzi mwenyewe.Basi umefika kwenye mtandao salama utakaokufundisha mambo ya kufanya ili uweze kumvutia mpenzi wako soma hapa chini live kabisa
1.Sasa,kitu cha kwanza na cha muhimu mno ni muonekano wako(utanashati):
Hizi hapa ni baadhi ya alama zitakazokufanya uonekane uko safi na mtanashati mda wote,kama ukifuata hatua hizi,nakuambia kweli msichana wako atahisi krismass inakaribia kwa sababu ya mpenzi aliye naye anamkosha sana kwa mambo mazuri anayomfanyia.
(A)Unaweza ukadhani kuwa nakutania lakini niko siriasi kabisa.Piga mswaki meno yako na ulimi wako mara mbili kwa siku kwa kutumia dawa ya meno.Matokeo yake itakuwa ni meno mazuri na meupe na zaidi ya yote,nani anapenda kupiga kiss na mtu ambaye mdomo unanuka na meno yake ni ya njano na ulimi wake sio msafi?
(B)Ngozi iliyotunzwa vizuri huifanya ionekane yenye kung’aa na yenye afya kama ukiitunza.Swala hili unaweza kufanikiwa kwa kunawa usoni kwa kutumia sabuni zenye dawa angalau marambili kwa sikuili kuondoa bacteria wanaokuwa wanasababisha chunusi.Kunywa maji mengi sana.Kunywa angalau vikombe 8 kwa siku.
(C)Hapa mimi ndipo napopenda zaidi.Kula vizuri na fanya mazoezi ili kuuweka mwili katika hali ya usawazo.Hakikisha kucha zako za kwenye miguu na mikono ni misafi na zilizokatwa.Hakikisha nywele zako zinakuwa safi nyoa ndevu zako au zitunze katika hali ya usafi
(D)Hakikisha nywele zako zina kuwa safi na hasa hasa nenda saluni na tinda kwa staili nzuri unayoitaka lakini isiwe ya kihuni zaidi.Kama nyusi zako zimegusana ziachanishe iliuweze kuonekana msafi na mtanashati na uso wako kuonekana vizuri.Ikiwezekana zilowanishe kidogo kwa kutumia mafuta maalumu nawe utaonekana mtanashati zaidi
(E)Hakikisha unashughulikia nywele zako za usoni kwa kuzikata au kuzipunguza vyovyote unavyopata
2.Sasa kitu cha msingi cha kufanya ni muonekano na matendo wako mwenyewe.
Lazima uwe na uwezo wa kumpa stori za kimahaba na za kufurahisha zaidi lakini zisizidi sana kwa sababu kila kitu kikizidi sana ni hatari sana, kwa chochote inabidi ufanye kwa kiasi usizidi kipimo.Mshitukize kwa vitu au mambo mazuri mara kwa mara mletee chakula,matembezi au zawadi mbalimbali,wasichana wanapenda sana kushitukizwa kwa mambo mazuri mazuri fanya hivyo nawe utaona.
3.Mguse kimahaba na mara kwa mara.
Mguso wa kimahaba huongeza mahaba na mapenzi,swala hili hufanya muonekane kuwa mmekuwa pamoja kwa muda mrefu na yuko “comfortable “kuguswa na kushikwa na wewe.Wasichana wengi hupenda wanaume wao wawaguse mda wote kumbuka usidi kipimo kama nilivyosema hapo awali.
4.Jiamini:
Ondoa dhana zote za uoga,na mfanye ajihisi kuwa anaweza kukutegemea wewe wakati wa shida na raha.Wasichana wanapenda sana wanaume ambao wanaweza kuwategemea lakini usijiamni kupita kiasi
5.Hiki ni kitu simpo sana lakini ni cha muhimu mno:
Msifie na mfanye ajione kama yeye ndio msichana mzuri dunia nzima.Kwa kumwambia hivyo humfanya ajione kama unamheshimu sana.
6.Jenga Hoja yako:
Jiweke katika hali ya kimahaba na ukaribu wa kimapenzi na mpenzi wako,mnapokuwa katika hali ya utupu(uchi)au nguo za ndani(chu*pi).Mwambie kwamba unataka kufanya mapenzi na yeye.Katika hali ya kawaida atajibu sawa.Kama hataki kufanya USILAZIMISHE ACHA.na kama ukilazimisha inaweza ikawa ndio mwanzo na mwisho wa wewe kufanya nae mapenzi,na mahusiano yanaweza kuvunjika kabisa kama usipokuwa makini
7.Fanya mapenzi,jaribu kutafuta sehemu nzuri na tulivu ya kufanya mapenzi:
Unapenda kitandani au unapenda kwenye kochi muulize yeye anapenda sehemu gani?jadilianeni ili muweze kuwa na wazo na muafaka wa eneo lakufanyia ili kila mtu awe na furaha kwa mwenzake.Kama anataka yeye ndio achukue jukumu muache na kama anataka wewe ndio utafute sehemu sawa pia.Usipokuwa makini sana wakati wa kufanya mapenzi mapenzi na mpenzi wako inaweza ikawa ndiyo mara ya kwanza na mwisho.Mwambie unampenda sana na hutamuacha wakati mkiwa mnafanya mapenzi,na jaribu kumbusu.
8.Tafuteni mbinu mpya za kufanya mapenzi
Hali hii itafanya mapenzi yaonekane mapya na freshi kabisa.Zaidi ya yote itafanya kila mmoja awe na hamu ya kukutana na mwenza kwa ajili ya mapenzi.Kitu hiki kitaunga penzi kati yako na mpenzi wako zaidi.