Muonekano wa karibu zaidi wa shimo hilo.
Haule ‘Recho’, kaburi la mwigizaji Adam Kuambiana (pichani)limekutwa
limetoboka kimaajabu.
babari yenye kichwa cha habari kisemacho: ‘Uchawi kaburini kwa Recho.’
Kwenye habari hiyo, ilielezwa kuwa katika kaburi la Recho kulikutwa
tunguri iliyoviringishwa shanga, kitambaa cha kanga chakavu, manyoya ya
kuku, yai moja na vitu vingine ambavyo havikujulikana ni nini.
simu waandishi wetu na kuwaeleza kuwa mbali na tukio la Recho, kaburi la
Kuambiana limetoboka kimaajabu na kuzua mtafaruku miongoni mwa watu
walioshuhudia kwa mara ya kwanza tukio hilo.
limetoboka ghafla kimaajabu maana juzi tu nilikuja kutembelea makaburi
haya, lilikuwa halijatoboka,” kilisema chanzo hicho.
likiwa limetoboka huku watu wengi waliokuwepo eneo hilo walidai kuwa
tukio hilo si la kawaida kwani limetokea wakati ambao mvua hazijanyesha.
wasingekuwa na mashaka lakini kwa jinsi ambavyo limetoboka wakati wa
jua kali ni dhahiri kutakuwa na ‘mkono wa mtu’.
“Hapa bwana
tusidanganyane kuna mkono wa mtu, haiwezekani kaburi lisitoboke kipindi
kile cha mwanzomwanzo lije kutoboka sasa wakati kuna jua kali namna hii,
lazima kuna mkono wa mtu tu,” alisema shuhuda mmoja.
kwa mastaa pekee na si kwa watu wengine?“Hii si bure hapa wachawi
watakuwa na shida yao binafsi, haiwezekani iwe kwa mastaa tu ndiyo
kunakuwa na mauzauza,” alisikika shuhuda mwingine.
liandikwe gazetini, alisema hata yeye hajui kwa nini inatokea katika
makaburi ya mastaa.“Mimi hata sijui kwa nini lakini yamefululiza, juzi
tumeona kwa Recho na leo kwa Kuambiana, tumuombe sana Mungu atuepushe na
mabaya,” alisema mlinzi huyo.
katika uchawi, mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo ambaye alionekana ni
mcha Mungu alisema hakuna uchawi wowote zaidi ya ardhi kutitia na
kusababisha mmomonyoko wa udongo.
kuzika, kulikuwa na uwazi umeachwa hivyo ardhi iliposhuka kuziba uwazi
huo ndipo iliposababisha tobo,” alisema shuhuda huyo mcha Mungu.
Kuambiana alikutwa na umauti Mei 17, mwaka huu alipokuwa akipelekwa
katika Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar baada ya kuugua ghafla akiwa
hotelini alipokuwa amepanga kwa ajili ya kuandaa filamu.
CHANZO: GAZETI LA AMANI