ANGALIA HAYA MANENO ALIYOANDIKA JB WA CCM JUU YA PICHA HIZI AKIWA NA SHAMSA NA AUNTY WA UKAWA

10 years ago102 Views

 

Kufuatia tofauti za kimitazamo ya kisiasa baina ya mastaa hawa, ambapo JB akiwa upande wa CCM wakati Shamsa na Aunt Ezekiel wakiwa UKAWA, JB kiutani kupitia ururasa wake mtandaoni ameibuka na hii kuonyesha kuwa siasa sio vita.
Imenibidi nifute picha hizi (hapo juu)…watu wamepaniki sana…Jamani siasa sio vita nilikuwa nawatania na wao wakacheka na wakati naandika wapo…mashabiki… Daah .. Daah…Jamani Bungeni wanataniana vyama tofauti na sisi pia…Tunashirikiana….Mashabiki mnisamehe kama nimewakosea…Ila ningefurahi siku moja watoto hawa wakirudi kundini pamoja na yule mwingine w…..Nawapenda

Previous Post

Next Post

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.