
Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbas akiongea na Msanii Diamondplatnamz katika onesho la Zuchu lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbas akisalimiana na Msanii Rayvanny katika onesho la Zuchu lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam
Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbas akisalimiana na Meneja wa Diamondplatnamz Salaam SK katika onesho la Zuchu lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Hassan Abbas akizungumza na mashabiki mbalimbali waliohudhuria katika onesho la “Iam Zuchu” lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Mwanamuziki Zuchu maarufu “I AM ZUCHU” akiimba katika onesho lake la kwanza tangu aanze kuimba muziki lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam na kuhudhutiwa na mamia ya mashabiki wake.
Mwanamuziki Mbosso akitumbuiza katika onesho la Zuchu lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.