
Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbas akiongea na Msanii Diamondplatnamz katika onesho la Zuchu lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbas akisalimiana na Msanii Rayvanny katika onesho la Zuchu lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam

Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbas akisalimiana na Meneja wa Diamondplatnamz Salaam SK katika onesho la Zuchu lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dk. Hassan Abbas akizungumza na mashabiki mbalimbali waliohudhuria katika onesho la âIam Zuchuâ lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

Mwanamuziki Zuchu maarufu âI AM ZUCHUâ akiimba katika onesho lake la kwanza tangu aanze kuimba muziki lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam na kuhudhutiwa na mamia ya mashabiki wake.
Mwanamuziki Mbosso akitumbuiza katika onesho la Zuchu lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wapenzi wa Muziki na Mashabiki wa Zuchu , waliohudhuria Usiku âSpecialâ kwa ajili yake ,wakifurahia Performance zinazoendelea Juu ya Stage katika onesho la Zuchu lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





