Rais Samia: Nashangaa “Wakati Sisi Tunalumbana, Bandari Apewe Nani Wenzetu Majirani Wameenda Kule kule”….afunguka Mazito

Admin Updates1 year ago8 Views

 

“Wakati sisi tunalumbana, bandari apewe nani, wenzetu kwa kuona malumbano yetu “wame-jump” wameenda kulekule, na lilelile jumba lililowekwa bendera ya Tanzania, limewekwa bendera ya jirani

Sasa (kama) Tanzania tumeuza wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?, na siku ambayo Bunge letu limesema kwamba ni ruhusa bandari iendeshwe na Serikali na sekta binafsi, siku ya ya pili wenzetu wakasema ninyi moja, sisi zote zilizoko huku ziende sekta binafsi na wakakimbia kule kwenda kuwahi nafasi kama wale wanalumbana njooni huku.

Sasa muone jinsi fursa zinavyokuja na kukimbia haraka na jinsi wengine wanavyoweza kuzitumia harakaharaka.” – Rais Samia Suluhu Hassan
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...