Katibu Mkuu wa Chama Chama Mapinduzi Ndugu Daniel Godfrey Chongolo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa hadhara wa chama cha mapinduzi (CCM) utakaofanyika jijini Mbeya leo 15/07/2023 kuanzia saa saba kamili Mchana katika uwanja wa Rwandanzovywe uliopo Ilomba jijini humo…Mkutano huo pia utarushwa Mubashara(LIVE) na vyombo mbalimbali vya habari pamoja na mitandao ya kijamii kuanzia saa 7 mchana.
Hii ni moja ya mikutano ya hadhara ambayo amekuwa akiifanya Ndugu Chongolo ikiwa ni mwendelezo wa ziara zake za kukagua na kukiimarisha chama cha mapinduzi kuazia ngazi ya Shina na tayari mikutano kama hii imeshafanyika katika mikoa ya Dar es Salaam,Tanga,Iringa,Kilimanjaro,Manyara,Dodoma na kwingineko ambapo Moja ya jukumu kubwa analofanya Chongolo ni kuwasisitiza na kutoa maelekezo kwa watendaji wa serikali ya kusikiliza na kuzitatua kero za waananchi kwa wakati kama iliyoainishwa katika ilani ya CCM.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








