

Timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ imemaliza nafasi ya tatu kwenye kundi B la michuano ya kirafiki ya FIFA Series 2026 kufuatia ushindi mnono wa 6-0 dhidi ya Macau katika dimba la Kigali Pele, Rwanda.
FT: Macau
0-6
Tanzania
16’ Amâncio (og)
26’ Mwamnyeto
45+1’ Mudathir
56’ Peter
74’ Miroshi
87’ Allarakhia






