Rais Samia ashiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Afrika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), akishiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Afrika (African Union Bureau of Assembly) kilichofanyika kwa njia ya mtandao, tarehe 26 Machi, 2026, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar. Kikao … Continue reading Rais Samia ashiriki Kikao cha Baraza la Uongozi la Umoja wa Afrika.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed