Waziri Katambi akutana na Balozi wa China Nchini
Waziri Katambi akutana na Balozi wa China Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amekutana na Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian, na kufanya mazungumzo kuhusu kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili. Katika kikao hicho, viongozi hao walijadili masuala mbalimbali ikiwemo mbinu za kudhibiti uhalifu, matumizi ya teknolojia katika kuimarisha usalama, … Continue reading Waziri Katambi akutana na Balozi wa China Nchini
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed